Mkuu wa jimbo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkuu wa jimbo (kwa Kilatini: Ordinarius loci) katika Kanisa Katoliki[1] ni mkleri (askofu au padri) ambaye ana mamlaka ya kisheria ya kudumu[2] juu ya jimbo (dayosisi au lingine).

Mamlaka hiyo anaweza kuwa nayo kutokana na cheo chake mwenyewe (hasa Askofu wa jimbo) ama kama makamu wa mwenye cheo (hasa makamu wa askofu)[3].
Utaratibu kama huo unafuatwa na Waanglikana[4]. Waorthodoksi wanatumia msamiati tofauti[5].
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
