Mlenda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mlenda
Remove ads

Milenda ni mimea ya jenasi Corchorus katika familia Malvaceae. Majani yao huliwa kama mboga yenye kuleta afya na hupikwa kwa mchanganyiko wa mimea mbalimbali kama bamia, mboga za majani na karanga; pia huliwa kwa ugali.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika ya Mashariki

  • Corchorus fascicularis, Mlenda Majani-membamba
  • Corchorus olitorius, Mlenda wa Kawaida (Indian jute)
  • Corchorus pseudocapsularis, Mlenda
  • Corchorus tridens, Mlenda Matunda-pembe (Horn-fruited jute)
  • Corchorus trilocularis, Mlenda Matunda-vyumba-vitatu (Threelocule jute)

Picha

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlenda kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads