Modesta wa Trier
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Modesta wa Trier (alifariki Trier, Ujerumani, 659) alikuwa bikira Mbenedikto aliyeongoza wenzake wengi kama abesi wa kwanza wa monasteri ya Öhren katika mji huo [1].
Alikuwa amejitoa kwa Mungu tangu utotoni, akawa rafiki wa kiroho wa Getrude wa Nivelles.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads