Molaise
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Molaise (pia: Laisren au Laserian, yaani Mwanga[1]; alifariki 18 Aprili 639[2] hivi) alikuwa mkaapweke nchini Uskoti, halafu padri[3] na askofu abati wa monasteri ya Leighlin nchini Ireland baada ya ndugu yake Gobani wa Seagoe.

Katika kisiwa hicho alieneza kwa utaratibu na amani ibada ya Pasaka jinsi ilivyoadhimishwa na Kanisa la Roma[4][5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu[6].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
