Mto Wase

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mto Wase
Remove ads

Mto Wase ni mto unaopatikana katika mji wa Wase, jimbo la Plateau nchini Nigeria. Mto huu unaunganika na Mto Benue jijini Dampar huko kitongoji cha Ibi[1] [2]

Thumb
Mto Wase ni mto unaopatikana ndani ya mji wa Wase

Mto huu umbali wake ni km 132 (mi 82)

Mahindi, magimbi, maembe na mboga za majani ni mazao yanayooteshwa pembezoni mwa mto huu.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads