Mi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mi au Mu (Μ μ) ni herufi ya 12 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama μ (alama ya kawaida) au Μ (alama kubwa mwanzoni mwa majina).
Remove ads
Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 40.
Asili ya mi ni herufi ya Kifinisia ya mem 𐤔 .
Matamshi yake yalikuwa "m".
Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kilatini kama "M" na katika alfabeti ya Kisirili kama "M".
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads