Narendra Modi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Narendra Modi
Remove ads

Narendra Damodardas Modi (amezaliwa 17 Septemba 1950) ni mwanasiasa wa India anayehudumu kama Waziri Mkuu wa 14 na wa sasa wa Uhindi tangu mwaka 2014.

Ukweli wa haraka Rais, mtangulizi ...

Awali alikuwa Waziri Mkuu wa Gujarat kutoka mwaka 2001 hadi 2014 na ni Mbunge wa Bunge la Taifa kwa jimbo la Varanasi.

Modi ni mwanachama wa chama cha Kihindu Bharatiya Janata Party (BJP).[2]

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads