Niko Bize
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Niko Bize ni wimbo wa Jahffarie akimshirikisha Daz Baba. Wimbo unatoka katika albamu ya Niko Bize. Wimbo ulitayarishwa na P Funk Majani wa bongo Records. Wimbo ulitoka mnamo mwaka wa 2003 ukiwa na chati kadhaa za Redio One, Clouds FM, Times FM, Magic FM na nyingine kibao.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Niko Bize kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads