Nonoso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nonoso (alifariki mlima Soratte, Lazio, 570 hivi) alikuwa abati wa monasteri juu ya mlima huo wa Italia ya Kati[1].
Habari zake ziliandikwa na Papa Gregori I kwa kusimulia miujiza yake mitatu.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 2 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads