Paris Saint-Germain F.C.

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paris Saint-Germain F.C.
Remove ads

Paris Saint-Germain F.C. (matamshi ya Kifaransa: [paʁi sɛ ʒɛʁmɛ]; inajulikana kama PSG) ni klabu ya soka ya Ufaransa iliyoko katika mji wa Paris. Ni mojawapo ya klabu kubwa barani Ulaya.

Thumb
Uwanja Wa Paris Saint-German F.C
Thumb
Mojawapo Ya Mchezaji wa (PSG)

Ilianzishwa mwaka 1970. Klabu hiyo inavaa jezi zenye rangi ya buluu na nyekundu.

Timu imecheza mechi 47,925 za nyumbani katika uwanja wao wa Parc des Princes. Klabu hiyo inaongoza kwa kuchukua makombe mengi ya ligi ya Ufaransa.

Remove ads

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Paris Saint-Germain F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads