Papa Adrian II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Adrian II (792 – Novemba/Desemba 872) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Desemba 867 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Nikolasi I akafuatwa na Papa Yohane VIII.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads