Papa Anastasio II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Anastasio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Novemba 496 hadi kifo chake tarehe 19 Novemba 498[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Gelasio I akafuatwa na Papa Symmachus.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads