Papa Anastasio III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Anastasio III alikuwa Papa kuanzia Juni/Septemba 911 hadi kifo chake mwezi wa Juni/Oktoba 913[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Anastasius.
Alimfuata Papa Sergio III akafuatwa na Papa Lando.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads