Papa Lando

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Lando
Remove ads

Papa Lando alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Julai/Novemba 913 hadi kifo chake mnamo Machi 914[1]. Alitokea Sabina, Lazio, Italia[2].

Thumb
Papa Lando.

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Lando. Alikuwa Papa wa mwisho (kabla ya Papa Fransisko) aliyetumia jina la kipapa lisilowahi kutumiwa na Papa yeyote.

Alimfuata Papa Anastasio III akafuatwa na Papa Yohane X.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads