Papa Antero
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Antero alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Novemba 235 hadi kifo chake tarehe 3 Januari 236[1]. Alikuwa na asili ya Ugiriki[2].
Alimfuata Papa Ponsyano akafuatwa na Papa Fabiano.
Anaheshimiwa kama mtakatifu, ila hakuna hakika kama alifia dini[2] au la [3].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads