Papa Benedikto III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto III alikuwa Papa kuanzia mwezi Julai au tarehe 29 Septemba 855 hadi kifo chake tarehe 17 Aprili 858[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Leo IV akafuatwa na Papa Nikolasi I.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads