Papa Benedikto VI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto VI alikuwa Papa kuanzia Desemba 972 au 19 Januari 973 hadi kifo chake mnamo Julai 974[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Yohane XIII akafuatwa na Papa Benedikto VII.
Alilindwa hasa na Kaisari Otto I wa Ujerumani. Huyo alipofariki, wenyeji wa mji wa Roma walimfunga Benedikto VI na baada ya miezi michache wakamuua.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads