Papa Benedikto VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto VII alikuwa Papa kuanzia Oktoba 974 hadi kifo chake tarehe 10 Julai 983[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Benedikto VI akafuatwa na Papa Yohane XIV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads