Papa Benedikto XII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto XII. O.Cist. (miaka ya 1280 – 25 Aprili 1342) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Desemba 1334/8 Januari 1335 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saverdun, Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Fournier.
Alimfuata Papa Yohane XXII akafuatwa na Papa Klementi VI.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads