Papa Boniface V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Boniface V alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Desemba 619 hadi kifo chake tarehe 23 Oktoba 625[1]. Alitokea Napoli, Italia[2].

Alimfuata Papa Adeodato I akafuatwa na Papa Honorius I.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads