Papa Celestino II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Celestino II (alifariki 8 Machi 1144) alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Septemba/3 Oktoba 1143 hadi kifo chake[1]. Alitokea Città di Castello, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido.
Alimfuata Papa Inosenti II akafuatwa na Papa Lucius II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads