Papa Eusebius
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Eusebius alikuwa Papa kwa miezi minne tu, kuanzia tarehe 18 Aprili 309 hadi tarehe 17 Agosti 309[1]. Alitokea Ugiriki.
Alimfuata Papa Marcellus I akafuatwa na Papa Miltiades.
Shahidi shujaa wa imani, ilipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa mji wa Roma kuhusu malipizi ya kufanywa na waliowahi kuasi[2], Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki mapema uhamishoni[3] katika kisiwa cha Sicilia[4][5].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads