Papa Evaristus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Evaristus (pia: Aristus) alikuwa Papa kwa miaka tisa kuanzia takriban 96/99 hadi kifo chake takriban 108[1], wakati wa Kaizari Traian. Alikuwa na asili ya Ugiriki[2].

Alimfuata Papa Klementi I akafuatwa na Papa Alexander I[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi[4] na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads