Papa Gregori V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori V (takriban 972 – Februari/Machi 999) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3 Mei 996 hadi kifo chake[1]. Alitokea Saksonia, Ujerumani[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bruno wa Carinthia.
Alimfuata Papa Yohane XV akafuatwa na Papa Silvester II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads