Papa Yohane XV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane XV alikuwa Papa kuanzia Agosti 985 hadi kifo chake mnamo Machi 996[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa pia Yohane.
Alimfuata Papa Yohane XIV akafuatwa na Papa Gregori V.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads