Papa Honorius IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Honorius IV (takriban 1210 – 3 Aprili 1287) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili/20 Mei 1285 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo Savelli.
Alimfuata Papa Martino IV akafuatwa na Papa Nikolasi IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads