Papa Innocent IX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent IX (20 Julai 1519 – 30 Desemba 1591) alikuwa Papa kwa wiki chache kuanzia tarehe 29 Oktoba/3 Novemba 1591 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovan Antonio Facchinetti.
Alimfuata Papa Gregori XIV akafuatwa na Papa Klementi VIII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads