Papa Julius I
papa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Julius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Februari 337 hadi kifo chake tarehe 12 Aprili 352[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Marko akafuatwa na Papa Liberius.
Anajulikana hasa kwa juhudi zake za kumaliza vurugu zilizotokana na Uario akisimama upande wa Patriarki Atanasi wa Aleksandria katika sinodi maalumu ya mwaka 342[2] na akidai Kanisa la Roma lilitakiwa kushirikishwa kwanza [3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia
- Translations of Jaffe-Kaltenbrunner's Register of the Pontiff. Ilihifadhiwa 28 Januari 2013 kwenye Wayback Machine.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads