Papa Marko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Marko alikuwa Papa kwa miezi kadhaa tu, kuanzia tarehe 18 Januari 336 hadi kifo chake tarehe 7 Oktoba 336[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Silvester I akafuatwa na Papa Julius I.
Alijenga mabasilika mawili mjini Roma[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads