Papa Konstantin
papa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Konstantin alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Machi 708 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili 715[1]. Alitokea Syria[2].

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Constantinus.
Alimfuata Papa Sisinnio akafuatwa na Papa Gregori II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads