Papa Gregori II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Gregori II alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Mei 715 hadi kifo chake tarehe 11 Februari 731[1][2]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[3].

Alimfuata Papa Konstantino akafuatwa na Papa Gregori III.
Alimpinga kishujaa Kaisari Leo V kuhusu heshima kwa picha takatifu na kuimarisha mamlaka ya Papa katika Kanisa la Magharibi [4].
Ndiye aliyemtuma Bonifasi kuinjilisha Ujerumani [5].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 11 Februari[6].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads