Papa Leo X

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Leo X
Remove ads

Papa Leo X (11 Desemba 14751 Desemba 1521) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/19 Machi 1513 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].

Thumb
Papa Leo X alivyochorwa na Raffaello.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni di Lorenzo de' Medici.

Alimfuata Papa Julius II akafuatwa na Papa Adrian VI.

Leo X ndiye aliyemtenga Martin Luther na Kanisa Katoliki tarehe 3 Januari 1521.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads