Papa Marcello II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Marcello II (6 Mei 1501 – 1 Mei 1555) alikuwa Papa kuanzia tarehe 9/10 Aprili 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Montefano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marcello Cervini.
Alimfuata Papa Julius III akafuatwa na Papa Paulo IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads