Papa Paulo IV
Papa wa kanisa la katoliki 1555-1559 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Paulo IV (28 Juni 1476 – 18 Agosti 1559) alikuwa Papa kuanzia tarehe 23/26 Mei 1555 hadi kifo chake[1]. Alitokea Capriglia, Avellino, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gian Pietro Carafa. Alimsaidia Gaetano wa Thiene kuanzisha shirika la Wateatini.
Alimfuata Papa Marcello II akafuatwa na Papa Pius IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads