Papa Marinus I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Marinus I alikuwa Papa kuanzia Desemba 882 hadi kifo chake tarehe 15 Mei 884[1]. Alitokea Gallese, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Yohane VIII akafuatwa na Papa Adriano III.
Tazama pia
Maandishi yake
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads