Papa Adrian III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Adrian III alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Mei 884 hadi kifo chake mnamo Agosti/Septemba 885[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2][3] .
Alimfuata Papa Marinus I akafuatwa na Papa Stefano V.
Katika mwaka wa Upapa wake alijitahidi kusaidia watu wa Italia walioteseka kwa vita na njaa[4] na kurudisha kwa kila njia umoja kati ya Kanisa la Roma na lile la Konstantinopoli [5].
Alifariki Nonantola kwa ugonjwa mkali wakati akielekea Ufaransa.
Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mtakatifu tarehe 2 Juni 1891.
Remove ads
Tazama pia
Maandishi
- Opera Omnia katika Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads