Papa Pius IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pius IV (31 Machi 1499 – 9 Desemba 1565) alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Desemba 1559/6 Januari 1560 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovan Angelo Medici.
Alimfuata Papa Paulo IV akafuatwa na Papa Pius V.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads