Papa Sergio III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Sergio III alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Januari 904 hadi kifo chake tarehe 14 Aprili 911[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Sergius.
Alimfuata Papa Leo V akafuatwa na Papa Anastasio III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads