Papa Leo V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Leo V alikuwa Papa kuanzia Julai 903 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 903[1]. Alitokea Ardea, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Benedikto IV akafuatwa na Papa Sergio III.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads