Papa Stefano II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Machi 752 hadi kifo chake tarehe 26 Aprili 757[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2] katika familia Orsini[3][4].

Alimfuata Papa Zakaria akafuatwa na Papa Paulo I.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads