Papa Urban VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Urban VIII (Aprili 1568 – 29 Julai 1644) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Agosti/29 Septemba 1623 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Maffeo Barberini.
Alimfuata Papa Gregori XV akafuatwa na Papa Inosenti X.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads