Papa Viktor II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Viktor II (takriban 1018 – 28 Julai 1057) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Aprili 1055 hadi kifo chake[1]. Alitokea Swabia, Bavaria, Ujerumani[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gebhard wa Calw, Tollenstein na Hirschberg.
Alimfuata Papa Leo IX akafuatwa na Papa Stefano IX.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads