Papa Yohane XIV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane XIV alikuwa Papa kuanzia Novemba/Desemba 983 hadi kifo chake tarehe 20 Agosti 984[1]. Alitokea Pavia, Lombardia, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Petro.
Alimfuata Papa Benedikto VII akafuatwa na Papa Yohane XV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads