Pedrog
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pedrog (kwa Kiwelisi; pia: Petroc, Petrocus, Petrek, Perreux; 468 hivi - 564 hivi) alikuwa mwanamfalme[1] na mmonaki wa Welisi, halafu mmisionari huko Cornwall alipokuwa ameanzisha monasteri na shule yake)[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waanglikana na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads