Petro Spano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Petro Spano (kwa Kiitalia: Pietro Spanò; Calabria, Italia Kusini, karne ya 11Ciano, Calabria, karne ya 12) alikuwa mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki maarufu wa ufukara na moyo wa toba, halafu mwanzilishi wa monasteri ya Ciano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 5 Juni [2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads