Pirmini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pirmini (pia: Pirminius, Pirminio, Pirmino, Pirmi; labda Hispania[1][2][3], 670 hivi[4] - Hornbach, leo nchini Ujerumani, 3 Novemba 753[2] ) alikuwa mmonaki, halafu abati na askofu, tena mmisionari katika maeneo mbalimbali ya Ulaya Kaskazini, alipoanzisha monasteri nyingi [5].

Aliandika pia kitabu cha katekesi "Scarapsus (=Excarpsus) de singulis libris canonicalis" (710-724)[6] kwa ajili ya wasiojua kitu.
Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads