Polynesia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Polinesia (kutoka Kigiriki: πολύς, polius, vingi, + νῆσος, nesos, kisiwa, yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini.

* 1. Polynesia * 2. Hawaii * 3. New Zealand * 4. Kisiwa cha Pasaka * 5. Samoa * 6. Fiji * 7. Tahiti
Laenea kati ya Hawaii, Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polinesia".
Visiwa vya Polinesia




Nchi huru | |
---|---|
Visiwa vya Cook | nchi inayoshirikana na Nyuzilandi |
Kiribati | (nchi huru) |
Nyuzilandi | (nchi huru) |
Niue | nchi inayoshirikana na Nyuzilandi |
Samoa | (nchi huru) |
Tonga | (nchi huru) |
Tuvalu | (nchi huru) |
Maeneo yaliyo chini ya nchi za nje | |
Samoa ya Marekani | Eneo la ng'ambo la Marekani |
Polinesia ya Kifaransa | Eneo la ng’ambo la Ufaransa |
Hawaii | Jimbo la Marekani |
Kisiwa cha Pasaka | Eneo la ng’ambo la Chile |
Pitcairn | Eneo la ng’ambo la Uingereza |
Tokelau | Eneo la ng’ambo la Nyuzilandi |
Wallis na Futuna | Eneo la ng’ambo la Ufaransa |
Maeneo ya nchi za Polynesia nje ya Pembetatu ya Polynesia | |
Anuta | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Emae | Eneo la Vanuatu |
Kapingamarangi | Eneo la Shirikisho la Mikronesia |
Mele | Eneo la Vanuatu |
Nuguria | Eneo la Papua Guinea Mpya |
Nukumanu | Eneo la Papua Guinea Mpya |
Nukuoro | Eneo la Shirikisho la Mikronesia |
Ontong Java | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Pileni | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Rennell | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Sikaiana | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Tikopia | Eneo la Visiwa vya Solomon |
Takuu | Eneo la Papua Guinea Mpya |
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.