Vanuatu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vanuatu
Remove ads

Vanuatu ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83.

Thumb
Port Villa, Mji Mkuu wa Vanuatu
Ukweli wa haraka
Remove ads


Iko takriban km 1,750 mashariki kwa Australia, km 500 kaskazini-mashariki kwa Kaledonia Mpya, magharibi kwa Fiji na kusini kwa Visiwa vya Solomon.

Mji mkuu ni Port Vila.

Remove ads

Watu

Kuna wakazi 266,937 (2014) wakiongea lugha asili 113 (angalia orodha ya lugha za Vanuatu).

Lugha rasmi ni Bislama, Kiingereza Kifaransa.

Wakazi wana asili ya Melanesia. Inawezekana watu wa kwanza walihamia visiwani miaka 4,000 iliyopita.

Kwa sasa wengi ni Wakristo, hasa Waprotestanti (Wakalvini, Waanglikana n.k.), halafu Wakatoliki (15%).

Tazama pia


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads