Poponi abati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Poponi abati, O.S.B. (pia: Poppo; Deinze, leo nchini Ubelgiji, 977 - Marchiennes, leo nchini Ufaransa, 25 Januari 1058) alikuwa abati huko Stavelot, leo nchini Ubelgiji, aliyejitahidi kueneza urekebisho wa monasteri za Kibenedikto ulioanza Cluny[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 25 Januari[4].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads