Porsiani abati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Porsiani abati (alifariki karibu na Clermont Ferrand, Akwitania, leo nchini Ufaransa, karne ya 6 hivi) alikuwa mtumwa ambaye alikimbilia uhuru wake monasterini mwa Wabenedikto akawa padri na hatimaye abati maarufu kwa miujiza[1].
Gregori wa Tours aliandika juu yake [2] .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads